Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000 × 12) or (450,000 × 6) Vyumba Viwili #KIMARA_KOROGWE
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA JUU IPO WAZI WAHI MTEJA #BEI 450,000 × 6 AU 400,000 × 12
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#PAVING BLOCKS ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA SANA
#MAFENI KOTE
#A/C CHUMBANI
#HEATER YA MAJI MOTO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8 TU KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA AU 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300