Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







PUNGUZO LA BEI LIMEKUBALIKA BADALA 250k SASA 200k.
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 200,000x3x4x5x6
MAHALI ILIPO KIMARA SUKA DAR ES SALAAM
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1 KWA GARI
KWA MGUU DK 15
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA PUBLIC TOILET NDANI
JIKO ZURI
❌ HAKUNA MASTER
NDANI YA FENCE HAILAZI GARI
UMEME UNAJITEGEMEA MITA YAKO
MAJI YANAFLOW CHOONI JIKONI
SERVICE CHARGE TSH 15000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258