Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610
Apartment Nzuri #Mpyaa
#Location: KIMARA SUKA
#UMBALI: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini
SIFA ZAKE
• Sebule kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa lenye Makabati
• Public Toilet nzuri ndani
• Heater ya MAJI
• Reserve Tank (DAWASA)
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa
#Kodi yake: Tsh. 500,000 Malipo Miezi 6
__