Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







ISHI KWA MALENGO KAA HII NYUMBA UKIHAMA UHAMIE KWAKO🙏🙏
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 200,000x3x4x5x6
MAHALI ILIPO KIMARA SUKA DAR ES SALAAM
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1 KWA GARI
KWA MGUU DK 15
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA PUBLIC TOILET NDANI
JIKO ZURI
❌ HAKUNA MASTER
NDANI YA FENCE HAILAZI GARI
UMEME UNAJITEGEMEA MITA YAKO
MAJI YANAFLOW CHOONI JIKONI
SERVICE CHARGE TSH 15000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258



















