Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 5
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/09/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#HEATER ZA MAJI MOTO
#FULL SECURITY 24 HOUR'S
#GARDEN NZURI
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710