Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Kimara Temboni
Bei: 500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Unatembea Kutoka Moro Road
☑️Vyumba 2 Kimoja Master Jiko Na Choo
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Fensi & Parking Ya Kutosha
☑️Usalama, Balcony, Full Ac Heater
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24\/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 15.000\/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalal_lyimo_kimara_korogwe
Ofisini: kimara tembon
Calls & Whatsapp: #0655256419
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏



















