Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA;#KIMARA MWISHO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA_KIMOJA_MASTER_SEBULE_NA_JIKO_CHOO_CHA_FAMILIA
๐งLocation: KIMARA MWISHO
UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
๐งBei: 300,000 Kwa Mwezi
KODI MIEZI 5/6
Muundo wa Nyumba;
๐Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
๐Chumba Kimoja Master
๐Sebule Kubwa
๐Jiko lina Makabati
๐Choo Cha Familia
๐Umeme Luku Yako
๐Fenced
๐Maji Meter Yako
๐Yanaflow Ndani 24HRS
๐Reserve TANK
๐Good Environment ๐
Nyumba Itakuwa Wazi 17/3/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia Ruksa Boss ๐ฐ โ๏ธ
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp