Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


Apartments of Two bedroom; 
RENT PER MONTH:500k
LOCATION:MAKONGO
 
Specifications
🔗Vyumba viwili kimoja master 
🔗Sebule kubwa 
🔗Jiko zuri lenye makabati 
🔗Umeme na maji unajitegemea 
🔗Parking ipo kubwa 
🔗Nyumba ipo umbali wa dakika 5 kwa miguu 
🔗Security 24/7 
🔗Nyumba nzuri sana
Payment Conditions:-
🔗Kodi Ya Nyumba ni 500k kwa Mwezi
🔗Malipo Ya Kodi Ni Kwa Miezi Sita (6)
Service cost:-
🔗Viewing Fee is 20k (Paid ones until you get the place)
🔗Agent Payment will be one month for the house, which will be paid by the customer




















