Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(200,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗦𝗨𝗚𝗨𝗥𝗜
APARTMENT NZURI SANA BEI KITONGA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
#INAVYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO 𝗛AKUNA❌ KUNA KIBARAZA CHAKO CHA KUPIKIA NJEEE
# CHOO CHA NDANI
#UMEME UNAJITEGEA
#MAJI MUNASHEA BIRI 2
# NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 200X6 ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO RO𝗔D KM 1
USAFI𝗥𝗜 UPO
BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 3 UM𝗘FIKA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300