Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA: APARTMENT YA KISASA β MBEZI BEACH (CHINI), DAR ES SALAAM
Kodi: USD 1,500 kwa mwezi
Maongezi yapo | Malipo kuanzia mwezi mmoja
#Fully_Furnished | Ya kisasa | Kubwa ya kifamilia
Sifa za Apartment:
Vyumba viwili vya kulala
Master bedroom ikiwa na A/C na kabati
Sebule ya kisasa
Dining room
Jiko safi
Choo na bafu vya ndani (public)
Umeme wa LUKU
Gypsum ceiling
Sakafu za tiles
Madirisha ya slides
Mahali: Mbezi Beach upande wa chini, Dar es Salaam β Tanzania
#0689138795whatsapp
#0758998074π