Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM1.5
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
VYOTE NI MASTER BEDROOM'S
SEBULE
DINING ROOM
JIKO ZURI
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
INATEGEMEA UMEME NA MAJI
FENCE YA UMEME
KODI YAKE 450K X 6
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:: 0672 673363



















