Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
300k
LOCATION π MBEZI KWA MSUGURI
DISTANCE π DAKIKA 6 TU KWA MIGUUπββοΈ
VYUMBA VIWILI 2.. KIMOJA NI MASTER
SEBULE
JIKO
P TOILET YA NDANI
UMEME/MAJI INAJITEGEMEA.
NDANI YA FENCE PEVING BLOCKS
SERVICES 15K
MALIPO YA DALALI 300K UKILIPIA NYUMBA
WAHI NYUMBA YA KARIBU NA BARABARA
PIGA SIMU
KODI NI LAKI TATU ILIPWE YA MIEZI 6 NK
SIMU
0712656027