Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(250,000X4)MBEZI KWA MSUGULI DK 4 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 4 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO KUBWA UNAWEZA KUFANYA CHUMBA
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
UMEME LUKU WAPANGAJI 2
CHOONI MAJI YANATOKA
MAJI YA BILI DAWASA
KODI 250,000 X 4, 5, 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















