Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗡𝗝𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗕𝗘 𝗠𝗔𝗗𝗨𝗞𝗔𝗡𝗜
APARTMENT NZURI SANA BEI KITONGA INAPANGISHWA IPO MBEZI MWISHO KULIA KAMA UNAELEKEA MOR , ROAD MAARUFU MAKABE MADUKANI KITUO MSIKITINI
BODA BUKU MPAKA GETINI BAJAJI 700 UKISHUKA DK SIFULI
INA VYUMBA VIWILI VYAKULALA 𝗛AINA MAST𝗘R JIKO KUBWA KITCHEN SEBULE NA P𝗨BLIC TOILET
MAJI YANATOKA JIKONI NA CHOONI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI FULL P𝗔VING BLOCK𝗦
WAPANGAJI WATANO KILA MMOJA ANAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250,000 × 6
NYUMBA INAPIGWA RANGI MAFUNDI WAPO KAZINI
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300