Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA
📍Mbezi kwa msuguli
🏠Km 1.8 kutoka morogoro road Usafili bajaji 700 ukishuka dakika 5 boda boda 1000 mpaka getini
#SIFAZAKE
🔶Vyumba 2 vya kulala Chumba kimoja master
🔶Sebule
🔶Jiko
🔶Publick toilet
🔶Umeme & maji #Inajitegemea
🔶Fence, Car Parking & Pavings
👉Hii ipo wazi ya kuhamia
🔷Kodi Tsh 300,000/=×6(Miezi Sita)
🔷Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
🔷Service Charge Tsh 15,000/-
#Piga_simu
#0627977383.&Whatsapp
#please #Follow us
Karibu Sana Mteja☺