Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: MBEZI MWISHO
Njia Ya MPIGI MAGOHE Kituo: MACHIMBO
Distance: KM 3 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 1000,Daladala 600
PRICE: 350,000 × 4/5/6
✔️Sebule Kubwa ✔️Vyumba VIWILI Vikubwa
✔️Chumba Kimoja Master ✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Public Toilet Inside 🚻 ✔️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS ✔️Umeme LUKU Yako ✔️Reserve TANK
✔️Good Environment 💥
Pia Ipo PRICE: 300,000 × 4/5/6
ZITAKUWA TAYARI KUHAMIA 25/10/2025
KUONA NA KULIPIA RUKSA BOSS 💰✍️
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAMALIZIA FINISHING ZA MWISHO
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp