Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


👉🏛️ APARTMENT INAPANGISHWA VYUMBA VIWILI, MASTER MOJA, SITTING ROOM, PUBLIC TOILET, JIKO NA MAKABATI YAKE, FEC, MAJI YAPO YA AINA MBILI DAWASCO NA KISIMA 24 HR,CCTV CAMERA,PERVING BLOCK,FENI NA UMEME LUKU YAKJITEGEMEA.
👉🏦BEI LAKI MBILI NA NUSU (250,000/=) KWA MWENZI MKATABA MIEZI MINNE 4 AU SITA 6.
👉☝️IPO PUGU KAJIUNGENI, KITUO PUGU KONA MATAA, WILAYA ILALA, DAR ES SALAAM.
👉📞0712315920.CALL&WHTSPPY.24HR
👉☎️📠0762102059.CALLLL.24HR