Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 300X5,
.
IPO WAZI INAMALIZIWA TU UKARABATI KIDGO WA RANGI NDAN NA NJE INARUDIWA TENA ILA KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
.
LOCATION: TABATA KINYEREZI KIFURU
.
UMBALI WA DK 4 TU KUTOKA MENROAD KITUO CHA DALADALA KIFURU
.
SIFA ZAKE
========
VYUMBA VIWILI VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
GARDEN NZURI
ELECTRONIC FENCE
CAMERA KONA ZOTE ZA NYUMBA
ULINZI NI KAMA JELA
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5 MPKA 6
.
SERVICE CHARGE ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
CONTACT
0679447338
0753454167