Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


✨ APARTMENTS MPYA ZA KISASA INAPANGISHWA – TEGETA WAZO, KARIBU NA LAMI! 🏢
Unahitaji apartment ya kisasa, tulivu, na iliyo karibu na huduma muhimu? Zipo tayari kwa ajili yako!
📍 Mahali: Tegeta Wazo – Karibu na barabara ya lami
🛏 Vyumba 2 (1 Master Bedroom)
🛋 Sebule
🍽 Jiko la kisasa
✅ Finishing ya kisasa
✅ Maji na umeme vinapatikana
✅ Eneo salama na tulivu
💰 Bei: TSh 450,000 kwa mwezi
📲 Piga/WhatsApp:
#0758998074👈
#0689138795whatsapp
📩 DM kwa viewing au maelezo zaidi
🔖 #ApartmentMpya #TegetaWazo #NyumbaZaKupangisha #RentalTZ #UdalaliWaUhakika