Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
2
Maelezo
APARTMENT KALI INAPANGISHWA – GOBA LAS TANZA ✨
Nyumba safi, ya kisasa na yenye muonekano mzuri sana
✔️ Vyumba 2 vya kulala (kimoja Master Bedroom)
✔️ Sebule & Jiko (open plan) – mpangilio wa kisasa
✔️ Public toilet
✔️ Mazingira safi na salama
✔️ Apartment ina muonekano mzuri sana wa kuvutia
💰 Bei: Tsh 1,000,000/= kwa mwezi
💸 Service charge: 30,000/=
📞 Call / WhatsApp: 0787 093 748



















