Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Mawasiliano, Morogoro


Hizi apartment zinauzwa juu na chini zina wapangaji kiwanja sqmts 600 kila apartment ina 2bedroom 1self na nyumba ya chini pembeni.
Price million 400 tsh
Visit site 30k
Mawasiliano zaidi
Call 0746 433 854