Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







House for rent stand alone inayojitegemea ndani ya fency
Location goba kwa magorofani karibu kabisa na barabara
Kodi 1,200,000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 3 moja ni master bedroom
Sitting room
Daning room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Full A/C ndani
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Hita ya maji moto na baridi bafuni
Paving block
Parking space
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















