Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa inajitegemea sifa zake ni
Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko
Kodi 600k Kwa mwezi
Ipo kigamboni kisota tuwasiliane mapema
๐โ 0718630932