Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT STAND ALONE
LOCATION
KIMARA BARUTI
BARABARA YA CHUO
KM 1.5 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BODA BODA BUKU
BEI NI 450,000/X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA DINNING
JIKO LENYE MAKABATI STORE
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA CAR PARKING KUBWA
MAZINGIRA SAFI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA FENSI PEKE YAKE
NB
INA BANDA LA KUFUGIA PIA
=======
CONT
0683234124
0752978231