Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APANTIMET KARI IPO KIMARA TEMBONI UMBALI KILOMITA MOJA TU USAFIRI UPO MWINGI SANA BAJAJI MIA 5 BODA BUKU MUDA WOTE
BEI LAKI NNE KWA MWEZI 6
ILIPWE 400,000X6
SIFA YA NYUMBA
NYUMBA KUBWA YA FAMILY
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA KUBWA SEBULE KUBWA NZURI
NA JIKO NZURI
IPO NDANI YA FENS USALAMA WA KUTOSHA PAKING IPO
BARABARA RAFIKI WA MAGARI YOTE
NDANI YA FENS ZIPO NYUMBA MBILI TU
KILA MOJA INAJITEGEMEA
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAPIGA RANG
#0785889413ππππ‘π _π΄πππ²π²
#0785889413