Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
💫💫NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#VYUMBA VYOTE VINA MAKABATI NDANI
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#PARKING KUBWA
#GARDEN
BEI NI 600,000/= X 6
💫💫NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE IPO KIMARA KOROGWE UWANJANI NJIA YA KUELEKEA RIVER SIDE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
0713 636000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA



















