Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA SUKA DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA 
KODI 500,000X6 
LOCATION: KIMARA STOP OVER 
DAKIKA 3 KWA MGUU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA SANA 
JIKO KUBWA NA STORE 
CHOO CHA FAMILIA 
NA BAFU LAKE
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA 
NB: UKILIPIA INAWEKWA VIOO NA SERVICE NDOGO KUMALIZIWA 
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖
0716223412
0618976024




















