Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO 
======================
*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE,JIKO, DINNING, STORE, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI 
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA 
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 700,000/= KWA MWEZI 
_____________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 
======================
*WSP: 0672 673363 
*CALL: 0672 673363 
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________



















