Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 VYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA INAPANGISHWA – KIMARA, KOROGWE
📍 Kimara, Korogwe
⏰ Kutoka Stand ya Mwendo Kasi ni dakika 10–12 kwa miguu. Bodaboda 1000 tu hadi getini
---
#SIFA_ZA_NYUMBA
🔹 Vyumba 3 vya kulala (kimoja Master Bedroom)
🔹 Sebule
🔹 Jiko la kisasa
🔹 Public Toilet ya ndani
🔹 Umeme & Maji (inajitegemea)
🔹 Fenced & Parking kubwa
🔹 Parving Block zinawekwa, finishing safi kabisa.
👉 Nyumba ni mpya kabisa, finishing za mwisho zinaendelea.
Gharama.
🔸 Kodi: Tsh 500,000 × 6 (miezi sita)
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20000 kwenda Kuona Nyumba
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347



















