Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE YA ROOM 3 ZA KULALA KIMARA BUCHA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA BUCHA DK2 TOKA MAIN ROAD.
KODI NI 500,000ร6
SEBULE KUBWA SANA UNAEZA DIZAIN NA DAINING HAPO,JIKO, MASTA KUBWA NA ROOM NYINGINE MBILI KUBWA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO MITA INAJITEGEMEA
NDANI Y FENC
NB: UKIHITAJI FANYA OFC UNAKARIB8SHWA KWA OFC 800,000
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347