Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE YA KIBABE INAFAA KWA FAMILIA KUBWA #BEI NI 500,000K
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DAINING
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING KUBWA SANA HATA KUFUGA UNAWEZA FUGA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA SIMTANK ZA KUTOSHA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
KUONA NYUMBA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
CAL
0713320608
0686334182