Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA SUKA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 550,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5.5
---------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara🇹🇿💥
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏