Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE MPYAAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE HII
INA PANGISHWA KIMARA TEMBONI
KODI NI 600,000X miezi 6
UMBALI KM 1 TU
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LINAWEKWA MAKABATI 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PAVING ZINAWEKWA
NYUMBA HII ITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 15 11 2025
ILA KUONA NA KULIPIA NI LUKSA 
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM 
#0677445508




















