Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – KINONDONI
✨ Vyumba 3 (✔️ kimoja master)
✨ Sebure kubwa na safi
✨ Jiko la kisasa
✨ Choo public
✨ Mazingira mazuri na salama
💰 Kodi: 950,000/= kwa mwezi
🕰️ Malipo: Miezi 6
📞 Wahi sasa 👉 0678 512 666
💡 Nyumba ya kifamilia yenye nafasi kubwa – Kinondoni hakuna kama hii!