Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(400,000X6) MBEZI MWISHO MAGUFULI BUS TERMINAL 1.5KM BODABODA ELF MOJA
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU 3
KIMOJAWAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING SPESI KUBWA SANA
ZIPO MBILI KWENYE FENSI
=====
KODI. 400,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 400,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
CONTACT US:-
0716223412
0618976024