Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Kodi ni 600,000/= kwa mwezi [Kuanzia miezi mitatu tu (3)]
๐Vyumba 2 kimoja master
๐Sebule kubwa
๐Jiko
๐Dinning Room
๐Public toilet
๐Air Condition
Location: Mbezi Magufuli kwa Yusuph
Umbali wa kutoka lami mpka kwenye nyumba ni kilometa 1 tu
Service Charge: 20,000/=
O677370515



















