Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

๐ŸŒŸ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 500,000/= X 6

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ NYUMBA HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

PIGA SIMU

0719969102

dalali_kimara_mbezi_kibamba
dalali_kimara_mbezi_kibamba
dalali_kimara_mbezi_kibamba

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI JUU KWA ULOMI ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

#APARTMENT FOR RENT๐ŸกPRICE : 1Million per MonthLOCATION : MBEZI-BEACH๐Ÿ“A/C Available 2BEDS Apartment...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO - DAR ES SALAAM๐Ÿ…๐Ÿ…ENEO- MBEZI AFKANA UPANDE WAJUBEI -LAKI 400 000NYUMBA YENY...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 7,000,000,000

Shule inauzwa ipo mbezi beach Ina sqmt 9621 Ina hati miliki Price billion saba (7000000000)Ina wanaf...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

NEW APARTMENTS#VYUMBA_VIWILI_VYA_KALALAMAHALIMBEZI BEACH KILONGAWIMA UPANDE WA CHINIKODI TSHS LAKI 8...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

#VYUMBA_VITATU APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH______________KODI TSHS 1...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

NEW APARTMENTS#VYUMBA_VIWILI_VYA_KALALAMAHALIMBEZI BEACH KILONGAWIMA UPANDE WA CHINIKODI TSHS LAKI 8...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA ...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 290,000,000

KIWANJA KINAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM TzMAHALI - MBEZI BEACH _____________________________UKUBWA ~ SQ...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000,000

KIWANJA KINAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM TzMAHALI - MBEZI BEACH _____________________________UKUBWA ~ SQ...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI JUU KWA ULOMI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH TANGI B...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA ...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT KUBWA SANA INA PANGISHWA KODI 250,000X6 LOCATION: MBEZI NJIA YA MALAMBA VYUMBA VIWILI VYA ...