Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1.5 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking Space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara🇹🇿💥
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏