Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Bima.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Store
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Parking
- Fence
Kodi 350,000/=.