Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#KODI 800,000 MALIPO MIEZI X6
LOCATION UBUNGO EXTERNAL NJIA YA MAJI CHUMVI
STAND ALONE NYUMBA YA FAMILY INAYO JITEGEMEA KWENYE FENCI
VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
DAINING KUBWA
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
TOILET BUPLICE NDANI
PIA KUNA NYUMBA YA INJE
CHUMBA MASTER BEDROOM & SEBULE
SIFA ZAKE
TYRIES GPYSAMU DILISHA ALUMINIAMU UMEME MITA YAKO MAJI YANA FROO NDANI NYUMBA IKO KWENYE FENCI PAVING BLOCK PARKING KUBWA HEATER YA MAJI
BALABALA RAFIKI KWA GARI ZOTE
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 5 KWA MGUU
KODI SH.800000 MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA SH.20000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
#0625606710🏠wahiii