Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







#KODI 400K MALIPO MIEZI X6
HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE
LOCATION UBUNGO RIVESAID MAKOKA STENDI
USAFIRI UPO MASAA 24/7 BAJAJI SH.700 UKISHUKA DK5
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SITING ROOM KUBWA
DAINING TABLE
JIKO KUBWA
PABLICK TOILET NDANI
MAJI DAWSCO YANATOKA NDANI
UMEME LUKU YAKO
FENCI INAJENGWA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347