Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


๐ฃ Nyumba Kubwa INAUZWA #KIMARA KOROGWE
๐ Bei 100,000,000/= (maongezi Yapo Kidogo)
___
_________
#Ukubwa wa Eneo ni mita 20ร20 (SQM 400)
#Hati ya Mauziano ya Serikali ya Mtaa
โ
SIFA ZA NYUMBA
โข Vyumba 3 vya kulala (kimojawapo Master)
โข Sebule
โข Dinning
โข Jiko
โข Public Toilet
* Full A/c
* Heater ya Maji Moto
* CCTV Camera
* Inajitegemea Fensi, umeme na maji ya DAWASA
#Umbali wa kutembea dakika 7 kwa miguu
#Note: Mpangaji aliyopo sasa analipa kodi400,000/=
_____
#Kupelekwa Kuona Tsh 30,000/=
โ:- 0753172516