Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
KITUNDA MACHIMBO
PLOT SIZE 700SQM
HATI YA MAUZIANO
MITA 300 TOKA STENDI YA DALADALA
NYUMBA NI YA VYUMBA 3 ,MASTER 1
SEBULE KUBWAA, JIKO, DINING, STOO,CHOO CHA KUSHARE
NJE IPO BOYCOTER YENYE CHUMBA KIMOJA
MAJI UMEME VIPO NDANI
NYUMBA INA FULL AC
BEI TZS 40MIL
SITE VISIT FEES TZS 50K