Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam






BEI MILIONI 35
MAONGEZI YAPO
NYUMBA INAUZWA IPO MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI WA KUTOKA
KILOMITA 2 HADI SAYITI
USAFIRI BAJAJI 700
BODA 1000
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE CHOO CHA PABILIKI
JIKO
UKUBWA WA ENEO
SM 350
HUDUMA ZA KIJAMII KAMA MAJI UMEME VYOTE
VIMEFIKA
NYUMBA INA UMEME TAYARI
IPO NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA ELFU 30000
BARABARA INAFIKA HADI SAYITI
Soma kimakini maeleza
Pg 0712392325