Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







#BEI NI MILIONI 45 NA MAONGEZI YAPO VIZUR SANA NDUGU MTEJA NYUMBA
#LOCATION MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD BRBR NI LAMI YA ZEGE MPKA SAITI
NI PAGALE NZURI SANA LINAUZWA LIMEJENGWA MUUNDO WA ANDA GROUND
APO LILIPO NI KUMWAGA JAMVI JUU CHIN TIARI UNA NYUMBA YA KUANZIA MAISHA NDO BAADE UENDELEZE JUU
NA HII YA CHUN INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO NA PUBLIC TOILET
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 320
HILI ENEO LIPO MTAA MZURI SANAAA ULIOJENGEKA NA WATU WENYE AKILI ZAO AMNA USWAILI HAP MTAA NI WA KISHUA MNOO
BRBR SAFI MPKA SAITI
SERVICHAJ ELIFU 25
CONTACT
##0655256419