Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mkonze, Dodoma


*NYUMBA YA KUMALIZIA VITU VICHACHE SANA INAUZWA MKONZE DODOMA MJINI*
Umbali wa Kilometer 10* tu kutoka katikati ya Jiji Safina House.
- MUUNDO WA NYUMBA
- Vyumba Vitatu Vya Kulala
- Kimoja Master
- Sebule Kubwa
- Dinning
- Jiko kubwa
- public Toilet
- Mita 100 kutoka Lami
- Km 4 Kutoka SGR Station
- Umeme Maji Vipo
- Documents Hati ya Wizara
⚜️ Vitu Vya Kumalizia
- Tailis
- Alminium
- skiming Na Rangi
⚜️ Kiwanja Kina Sqm 422
👉 Majirani wazuri Mtaa umepangwa Vizuri
📍*BEI MILLION 85*
☎️ 0787037986
KARIBU TUKUHUDUMIE 🤝


















