Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Nyasaka, Mwanza







🗣️ NYUMBA INAUZWA 🏠
📍IPO NYASAKA CENTER MWANZA
• Ina vyumba vitatu vyakulala, chumba kimoja ni self, sebule, dinning, jiko, public toilet na stoo
• Ukubwa wa kiwanja ni 20x30 (SQM 600)
• Kiwanja kimepimwa (KINA HATI MILIKI)
• Nyumba Imekamilika kila kitu ndani (vyumba vikubwa)
BEI: MILIONI 80 (Maongezi Yapo Kidogo)
Piga simu kwa maelezo zaidi: 0765430905



















