Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


🏠 Nyumba Inauzwa Tabata, Dar es Salaam 🌇
Kwa bei ya Tsh 130 milioni tu, unapata nyumba yenye vyumba 3 (1 ikiwa master), jiko la kisasa, sebule ya kuvutia, na nje kuna flame mbili. Hati miliki ipo mkononi kwa uhamisho wa haraka! 🏡📜
Furahia maisha bora jijini Dar es Salaam. Usikose nafasi hii! 🔑💼
#HouseForSale #TabataHome #NyumbaMpya #RealEstateTanzania #HomeOwnership #daressalaamtanzania #dalalisosotabata