Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kivule, Msongola, Dar Es Salaam (480 sqm)







Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
3
Ukubwa
480 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
...NJOO UCHUKUE BUREE... (sharti lipia kwanza milion 62)
Nyumba inauzwa kati ya Kivule na msongola wilaya ya ilala Dar
0759128747 0624436503
Vyumba v3 viwili masta
👉BEI MILION 62 inapungua (usiogope)
Tailiz jipsam maji umeme
Jiko, bafu na choo
Ipo karib sana na stend (unatembea tu)
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Eneo sqm 480 (makadilio)
Gari moja had mjini
Whatsap au piga




















