Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







APARTMENT YA VYUMBA VITATU 🏡🏘 INAPANGISHWA
MAHALI: BUNJU B MITA 💯 KUTOKA LAMI
INA VYUMBA VITATU CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE KUBWA JIKO NA PUBLIC TOILETS
KODI: TSH 400K KWA MWEZI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MITA YAKE
SERVICE CHARGE 20K
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA dalali_boris_boko_bunju
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ What’s up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com